Breaking

Post Top Ad

Diamond kwa JK, 'Vijana wako tumeambiwa hatuna umuhimu'

Diamond kwa JK, 'Vijana wako tumeambiwa hatuna umuhimu'

Juzi Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Dkt. Jakaya Kikwete alikuwa anahadhimisha miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake. Viongozi mbalimbali, wanamichezo, wasanii na wananchi wote kwa ujumla waliweza kumtumia salamu za kheri katika siku yake hiyo muhimu.

Kutoka kwenye kiwanda cha Bongo Fleva, Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii waliomtumia salamu Dkt. Kikete. Kupitia ukurasa wake wa Instagram muimbaji huyo ameandika;
BONGO FLAVA GODFATHER.... WE LOVE & MISSING YOU, Vijana wako leo tumeambiwa Hatuna tena umuhimu, hatutakiwi tena kwenye Kampeni...Hatuna tena thamani....😭😭😭😭 what can we say? sawa tunashkuru, ila Tumeumia😭😭😭😭😭.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US