Breaking

Post Top Ad

Visikupite vitu viwili alivyosema Jux kuhusu yeye na Vanessa

Visikupite vitu viwili alivyosema Jux kuhusu yeye na Vanessa

Msanii wa muziki Bongo, Jux amefunguka kuhusu tetesi za Vanessa kuwa mjamzito pamoja na ishu ya kufunga ndoa.

"Hamna chochote, nadhani ni vitu viwili viligongana, ikitokea mtajua kama ni vitu ambavyo vipo tayari. Tunajaribu kuweka vitu vyetu binafsi lakini kwa jinsi maisha yalivyo inakuwa ni ngumu," amesema. 

"Ni moja ya hatua za maisha, Mwenyenzi Mungu akinipa nafasi nahitaji kuvikamilisha, ndoa iwepo, watoto. Nadhani hicho ni kitu kikubwa kwenye maisha, hizo hatua ukizipita unaona nafasi yangu wakati nipo duniani kuna kitu nimekifanya," amesema Jux.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US