Breaking

Post Top Ad

"HARRY KANE NAMBA TISA BORA KWA SASA HANA MPINZANI"


Southgate has formed a close relationship with his captain. AFPkuelekea mchezo wa michuano  ya ligi ya mataifa ya ulaya UEFA NATION LEAGUE  kati ya England ikipambana na Spain ambapo kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya England amesema kuwa moja kati washambuliaji bora wa kati Harry Kane ni hatari zaidi yupo katika kiwango cha dunia 
akifafanua kwamba mfano kwamba waangalie Messi na Ronaldo ndipo utaona pia muonekano wa Harry Kane kama Namba tisa bora kwa dunia baada ya kushinda mfungaji bora katika michuano ya Fifa world cup 2018 Russia na kushinda kiatu cha dhahabu ama unaweza kusema Golden Boot 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US