Breaking

Post Top Ad

YANGA KUANIKA JEZI MPYA HADHARANI


Uongozi wa Yanga kupitia kwa Ofisa Habari wake, Dismas Ten, umeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza kwa kuchelewa kutangaza jezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2018/19 kwa sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wao.

Kwa sasa klabu hiyo inafanya mpango kabambe wa kufanya zoezi la kupatikana kwa jezi mpya kwa ajili ya mashindano yote klabu hiyo itakayoshiriki msimu wa 2018/19.

Uongozi umewaomba wanachama na mashabiki wa klabu hiyo pindi taratibu zitakapokamilika watatangaziwa jinsi ya kuzipata na mahali zitakapopatikana.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US