Breaking

Post Top Ad

Real Madrid kama wasipofanya usajili msimu watapata tabu sanaMadrid ukiwatizama vyema kwa namna wanavyocheza wanacheza kihispanyola sasa tofauti na ule mfumo wa Zidane wa kutafuta matokeo.

Mfumo huu wa pasi unainyima timu nafasi ya kwenda mbele sana na kufanya ushambuliaji kupoa. Mchezo wa mwisho wa Atektico dhidi ya Real, Real walifanikiwa kupiga mashuti 30 na atletico wakipiga mashuti 11.Jana Madrid wamepiga mashuti 14 tu huku atletico wakipiga 8.

Hawakuamini kama lolote linaweza kutokea. Wameukejeli mfumo wa kutafuta mabao na kuuthamini mfumo wa kujizuia kwa kukaa na mpira
Real Madrid kama wasipofanya usajili msimu watapata tabu sana

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US