Breaking

Post Top Ad

Real Madrid washindwa kuifikia rekodi ya FC Barcelona,Atletico Madrid watwaa Uefa Super Cup 2018Kocha mpya wa Real Madrid Julen Lopetegui anakuwa kocha wa kwanza wa Madrid kuwahi kufungwa bao 4 katika mechi yake ya kwanza ya kimashindano tangu Michael Keeping afungwe bao kama hizo 1948.Kama haufahamu tu hii ni mara ya kwanza kwa Real Madrid kufungwa bao 4 kwenye mechi moja tangu janga kama hili liwakute mwezi November mwaka 2015 walipofungwa na Barcelona katika La Liga

Bao  la Diego Costa lilimuingiza katika vitabu vya kumbukumbu vya UEFA Super Cup kwani ndio bao ambalo limewahi kufungwa mapema zaidi katika fainali za michuano hii.(sekunde 49).


RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US