Breaking

Post Top Ad

Mkuu wa Mkoa Mwanza amekubali

Kuelekea mchezo wa Ngao ya Jamii Simba vs Mtibwa Sugar, Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh. John Mongella amesema Simba inatisha lakini anaamini Mtibwa wamejipanga vizuri.
Mh. Mongela amesema kibongo-bongo Mwanza ndio kitovu cha michezo kwa hiyo wakazi wa Rock City na mikoa ya jirani (Geita, Shinyanga, Kagera) wataujaza uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mechi hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US