Breaking

Post Top Ad

Dogo Janja aeleza kinachokwamisha kuitwa BabaMsanii wa muziki Bongo, Dogo Janja amefunguka ni kwanini hadi sasa mkewe, Irene Uwoya hana ujauzito.

Dogo Janja kupitia Kikaangoni, EATV amesema amesema hali hiyo inatokana na yeye kutumia kinga mara nyingi zaidi

"Sina mtoto mpaka sasa maana natumia sana kinga, marehemu baba pia alishanionya kupata mtoto nje ya ndoa. Sasa hivi nimeoa naweza nikapata," amesema Dogo Janja.

Ameongeza kuwa anatamani akipata mtoto aanze kusoma kwanza halafu vile vile asifanye muziki maana upo busy.


RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US