Breaking

Post Top Ad

Wema Sepetu, Babu Tale baada ya Instagram ya RC Makonda kudukuliwa


Wema Sepetu, Babu Tale baada ya Instagram ya RC Makonda kudukuliwa

Stori iliyopo kwa sasa ni kwamba akauti ya Instagram ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amedukuliwa (Hacked).

Mrembo Wema Sepetu na moja ya Mameneja kutokea WCB, Babu Tale wametia neno katika hilo.Wema katika Instagram yake ameandika; 'Bwana Hacker kafanya yake, ila hawa Hackers kwanini wanakua hivi lakini. Pole sana RC, Inshallah itarudi'. Huku Babu Tale akiandika; 'Watu waliokosa uoga wameondoka na account ya Mkuu wa Mkoa wa Dar leo Mh Makonda'.

Ukurasa wa Instagram wa RC Makonda ulikuwa na followers takribani Milioni moja.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US