Breaking

Post Top Ad

Vanessa Mdee afunguka kufanyiwa 'zengwe' show yake na Jux ArushaMsanii wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amefunguka kuwa show yake ya mkoani Arusha ulikuwa inapigwa sana vita.

Show hiyo ni miongoni mwa zile na zilizopanga katia tour yake na Jux 'In Love & Money'. Kupitia ukursa wake wa Instagram Vanessa ameandika'

Nipo hapa leo sababu ya kumtumaini Mungu na kumuamini yeye tu. Maana hii show ya Arusha ndugu zangu ilikuwa inapigwa vita zaidi ya kawaida. 
Nikisema kwamba asubuhi ya kuamkia jana yaani siku ya show nilishajianda kurudi Dar sababu mambo yalikwamaaaaa, would you believe me? Lakini Mungu ana malaika wake wanawapigania wanyonge. Let me start by thanking my hometown ARUSHA 😍😘

Kwa sasa tour hiyo imebakiza show moja ambayo itafanyika Dar es Salaam.


RNGM blog


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US