Breaking

Post Top Ad

Ukaribu kati ya Mwanamuziki Beyoncé na Mume wake Rapa JAY-Z na Barack and Michelle Obama umedhirikaUkaribu kati ya Mwanamuziki Beyoncé na Mume wake Rapa JAY-Z na Barack and Michelle Obama umedhirika mara baada ya Rais huyo wa Taifa kubwa Duniani Kuhudhuria Kwenye Tamasha la mwanamuziki huyo linalojilikana kama “On the Run II” tour.

Rais Barack na Michelle Obama walionekana wakiwa katoka sehemu ya watu maarufu wakishangilia wakati wanamzuki hao walipokuwa wakitumbuiza,katika onyesho lilofanyoka mjini Landover, Maryland Jumamosi iliyopita (July 28).

Rais huyo mstaafu alikuwa akishangiliwa zaidi na mashabiki,mara video yake iliyokuwa ikionekana kwenye screen kubwa kwenye tamasha hilo.alikuwa akionekana akifurahia kila wimbo uliokuwa ukiimbwa na wanandoa hao.


RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US