Breaking

Post Top Ad

Sio mapenzi; Jackline Wolper ataja kinachompa furaha kwa sasa


Msanii wa Filamu Bongo, Jackline Wolper ametaja kile ambacho kinampa furaha kwa sasa.

Mrembo huyo amesema furaha yake inatoka ndani ya moyo na si kutokana na vitu vinavyomzunguka na hii ni kutokana na namna anavyokabiliana na changamoto anazokutana nazo kila siku. Kupitia Instagram ameandika;

What doesn’t kill you makes you stronger. always make peace with your Past so that it won’t screw Up your Present and future too.The best thing is to keep smiling all the way coz you do not own all the problems in the world.

My happiness shall come from within me and not from anywhere or anyone else..I choose to be happy ,To smile and move On as hero of my beautiful Soul.Asante Mungu Kwa Masomo ya Kila siku Na nita endelea Kukutumainia wewe bila kuchoka. The Focus now is on my next Big Project..Wish me Luck..Nawapenda Sana!

Licha ya kufanya movie pamoja na kutokea kwenye video kadhaa za wasanii, Wolper kwa sasa ni mbunifu wa mavazi kupitia duka lake linalokwenda kwa jina la House of Stylish.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US