Breaking

Post Top Ad

Msinilinganishe na vinuka mkojo, mimi sio level zenu - Zari The BossladyZari The Bosslady amerejea tena kwenye headlines, hii ni baada ya kurusha kijembe cha aina yake kwa wale anahisi wanashindana naye.

Kwa kutumia Insta Stori na Snapchart hajawaacha salama watu hao, ameweka video mbalimbali kutoka kwenye chuo chake, Brooklyn City College ndipo akadosha maneno yake;.  


Exam hall, hatuuzi sura tu bana, tunapambana, msinilinganishe na vinuka mkojo vyenu, mxuiiii.

Ati sijui A or B, mimi sio izo level zenu, i worked for my name. Am not a social climber.


Zari The Bosslady ambaye kwa sasa anaishi nchini Afrika Kusini na familia yake ni miongoni mwa mwarembo, wajasiriamali wenye nguvu kubwa ya ushawishi katika mitandao ya kijamii akiwa na followers zaidi ya milioni 4 katika mtandao wa Instagram.


RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US