Breaking

Post Top Ad

Msanii wa WCB, Lava Lava azimia jukwaani

Video: Msanii wa WCB, Lava Lava azimia jukwaani

Msanii wa Bongo Fleva, Lava Lava amejikuta akizimia ghafla kwenye show mkoani Morogoro.

Hii ni baada ya kukisiana na mrembo mmoja na baada ya hapo zilichukua sekunde chache kwa muimbaji huyo kupeteza fahamu (kuzimia).

Msanii wa Bongo Fleva, Lava Lava amejikuta akizimia ghafla kwenye show mkoani Morogoro.

Hii ni baada ya kukisiana na mrembo mmoja na baada ya hapo zilichukua sekunde chache kwa muimbaji huyo kupoteza fahamu (kuzimia).

Lava Lava mwenyewe ameeleza kuwa haelewi ni kitu gani kilimfanya akapoteza fahamu na hajui iwapo mrembo aliyemkisi ndiye aliyesababisha hali hiyo kumtokea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US