Breaking

Post Top Ad

Mpya Ya Kim Kardashian West / Alikuwa Hana Kitu Trump AlivyompigiaKama utakumbuka ugeni wa Kim Kardashian kwenye Ikulu ya Marekani alipofanya Mkutano na Rais Donald Trump wa Marekani mwezi Mei, Utashangazwa na mapya aliyoyaibua mwanamitindo huyo baada ya kuelezea ilivyokuwa alipoitwa Ikulu na Rais Trump.

Akipiga stori na mojawapo ya show za TV marekani, Mama huyo wa watoto 3 wa Rappa  Kanye West amesema alikuwa hana nguo akijiandaa kufanya (Nude) Photoshoot na Mpiga picha maarufu  Steven Klei.

“So I was at a Steven Klein photo shoot, and if anyone knows who he is, it’s pretty much a nude shoot. So I’m naked, and my phone rings and I’m all glammed up, and I’m like, ‘Get me a robe!’ And I was waiting for the call, not knowing when it was going to come, even if it was it, and it was it.”

Kim Kardashian alimtembea Rais Trump mwezi Mei mwaka huu ambapo alienda kuzungumzia ishu kadhaa zikiwemo sheria za madawa ya kulevya zinavyowaumiza raia wa Marekani.

RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US