Breaking

Post Top Ad

Huddah awachana waliomcheka Jokate alipoachwa na Alikiba ila sasa wanampongeza


Mrembo kutokea nchini Kenya, Huddah Monroe amewajia juu wale ambao kwa sasa wanampongeza Jokate Mwegelo kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe wakati wao ndio waliomcheka wakati mrembo huyo alipoachwa na Alikiba.

Mrembo huyo amesema wengi wanaompongeza Jokate sio wa kweli bali ni waigizaji wa mitandaoni. Kupitia Snapchart Huddah ameandika;

When Alikiba married another lady and not Jokate. People abused Jokate so much and laughed so hard about it. Now she is winning everyone is sending their congratulations msg!.

LMFAO! The internet is undefeated. Pretenders. Non of these fans are LOYAL!  They go with wind

If  you live off people's compliments, you will die from their criticism ..... LIVE for you. DO YOU!

Utakumbuka kwa kipindi kirefu Jokate Mwegelo alikuwa kwenye mahusiano na Alikiba lakini mwaka huu muimbaji huyo wa Bongo Fleva alioa binti kutokea Mombasa nchini Kenya, kitu hicho kinaamini ndicho hata kilipelekea Jokate kutotumia mitandao ya kijamii.

RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US