Breaking

Post Top Ad

Bodyguard wa Diamond, Mwarabu Fighter arudi kivingineOfficial Bodyguard wa msanii Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter ameonyesha ni jinsi gali anavyopambana na maisha kama linavyojieleza jina lake.

Kwa sasa Bodguard huyo ameamua kuja na kampuni yake ya ulinzi baada ya kufanya kazi na Diamond/WCB kwa kipindi kirefu zaidi

Kampuni hiyo ya ulinzi itakuwa inatoa huduma ya ulinzi kwa watu binafsi, maeneo mbalimbali kama katika nyumba za watu, kwenye shughuli kama harusi, matamasha na kadhalika.

Kwa sasa Mwaarabu Fighter haonekani karibu na Diamond Platnumz na hii ni baada ya kuwepo madai kuwa alitoka kimapenzi na mpenzi wa Harmonize, Sarah tuhuma zilizoibuliwa na dada maarufu mtandaoni, Mange Kimambi.


RNGM blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

CONTACT US